Jinsi Ya Kuipata Settings Muhimu Iliyofichwa Kwenye Simu Za Android

Tz Eleven
Tz Eleven
17.8 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - how to enable developer optionsHii
how to enable developer options
Hii video inakuelekeza jinsi ya kuipata settings muhimu ambayo ina mambo mengi ndani yake.  Sana sana ni kwawale wanaopenda kuroot na kubadili muonekano wa simu zao kupitia kwenye kompyuta na wanaopenda kucheza magemu makubwa kwenye simu zao settings hii ni muhimu kwao.  Hii ni kwaajili ya simu za android tu.

Ijue Smartphone Yako!!!: Video Kuhusu Simu Za Android
Ijue Kompyuta Yako!!!: Video Kuhusu Kompyuta Za Windows
All Tz Eleven's Videos: Video Zote Kutoka Tz Eleven

__________________________________________

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Au...

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playst...

Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye...

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyot...

Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
Video

Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitu...

Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo M...

Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye ...

Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika...

Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika...
__________________________________________

Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!

Jiunge Nasi Kupitia ;-

Instagram. Instagram: tz_eleven
Facebook. Facebook: tz.eleve.7
Twitter...   Twitter: tz_eleven
Google+.  https://plus.google.com/u/0/116831554...
Youtube.  @tzeleven

#tzeleven
7 سال پیش در تاریخ 1396/03/08 منتشر شده است.
17,864 بـار بازدید شده
... بیشتر