Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore. (Android)

Tz Eleven
Tz Eleven
3.2 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Jinsi ya kuhifadhi apps kwenye
Jinsi ya kuhifadhi apps kwenye play store ili uje kuzi-download baada utakapozihitaji. Ukifanya hivi inakuwa rahisi kuzipata apps ambazo unazitaka bila kupata shida ya kuanza kuzitafuta. Hapo utakuwa umeokoa muda.

Apps hizo zitakaa kwenye hiyo list mpaka utakapozitoa mwenyewe kwahiyo ataukibadili na ukiweka email yako kwenye simu nyingine bado utazikuta hizo apps kwenye wishlist.

__________________________________________

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Au...

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playst...

Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye...

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyot...

Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
Video

Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitu...

Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo M...

Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye ...

Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika...

Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika...

__________________________________________

Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!

Jiunge Nasi Kupitia ;-

Instagram.   Instagram: tz_eleven
Facebook.    Facebook: tz.eleven
Youtube.      tzeleven

#tzeleven
7 سال پیش در تاریخ 1396/07/23 منتشر شده است.
3,227 بـار بازدید شده
... بیشتر