Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic - 2017

Tz Eleven
Tz Eleven
3.8 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Kwa kawaida play store inakuwa
Kwa kawaida play store inakuwa imejiseti Auto-Update ili kuhakikisha unatumia matoleo mapya ya apps punde yanapokuwa yametolewa.   Lakini wakati mwingine kitendo hiki kinaweza kuwa tatizo pale unapokuwa na bando lenye MB chache na kuna kitu muhimu unataka kufanya katika mtandao.

Kwahiyo njia hii itakusaidia kuepukana na tatizo kama hilo la kumaliziwa MB zako kwa kitu ambacho hauna shida nacho kwa wakati huo.

__________________________________________

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Au...

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playst...

Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye...

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyot...

Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
Video

Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitu...

Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo M...

Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye ...

Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika...

Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika...
__________________________________________

Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!

Jiunge Nasi Kupitia ;-

Instagram.   Instagram: tz_eleven
Facebook.    Facebook: tz.eleven
Youtube.      tzeleven

#tzeleven
7 سال پیش در تاریخ 1396/08/17 منتشر شده است.
3,896 بـار بازدید شده
... بیشتر