Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)

Tz Eleven
Tz Eleven
5.5 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Kawaida ya apps nyingi tunazotumia
Kawaida ya apps nyingi tunazotumia kwenye simu zetu zinakawaida ya kuacha baadhi ya taarifa ambazo hatupendi zibaki au zionekane kwenye simu zetu.

Kama whatsapp kwa kawaida mtu anaweza kufuta picha halisi aliyopiga kwenye simu yake, na pia akafuta picha ambayo ameituma kwenye ujumbe, Lakini bado picha hiyo inabaki kwenye mafaili ya app ya whatsapp.

Kwahiyo kuwa makini na baadhi ya apps ambazo unazitumia kwa mambo binafsi.

__________________________________________

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Au...

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playst...

Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye...

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyot...

Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
Video

Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitu...

Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo M...

Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye ...

Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika...

Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika...
__________________________________________

Usisahau Ku-Subscribe, Ku-Like na Ku-Share.  Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!

Jiunge Nasi Kupitia ;-

Instagram. Instagram: tz_eleven
Facebook. Facebook: tz.eleve.7
Twitter...   Twitter: tz_eleven
Google+.  https://plus.google.com/u/0/116831554...
Youtube.  @tzeleven

#tzeleven
7 سال پیش در تاریخ 1396/05/25 منتشر شده است.
5,525 بـار بازدید شده
... بیشتر