Njia Rahisi Ya Kuizima Kamera Ya Kwenye Kompyuta

Tz Eleven
Tz Eleven
1.1 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Video hii inaelekeza namna ya
Video hii inaelekeza namna ya kuzima Camera ya kwenye kompyuta zinazo tumia windows ili camera hiyo isifanye kazi kabisa kwenye program yoyote katika kompyuta hiyo, mpaka pale utakapo amua kuiwasha tena.



Ijue Smartphone Yako!!!:
Video Kuhusu Simu Za Android
Ijue Kompyuta Yako!!!:
Video Kuhusu Kompyuta Za Windows
All Tz Eleven's Videos:
Video Zote Kutoka Tz Eleven

__________________________________________

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Au...

Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android)
Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playst...

Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS)
Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye...

Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android)
Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyot...

Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android)
Video

Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android)
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitu...

Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android
Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo M...

Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android)
Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye ...

Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android)
Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika...

Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android)
Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika...
__________________________________________

Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!!

Jiunge Nasi Kupitia ;-

Instagram.   Instagram: tz_eleven
Facebook.    Facebook: tz.eleve.7
Youtube.      tzeleven

#tzeleven
4 سال پیش در تاریخ 1399/10/02 منتشر شده است.
1,172 بـار بازدید شده
... بیشتر