Jinsi ya Kutumia gmail account katika Computer || Tuma - pokea Email

Mohamed Hafidh Tz
Mohamed Hafidh Tz
641 بار بازدید - 9 ماه پیش - Fahamu Jinsi Ya Kutumia Gmail
Fahamu Jinsi Ya Kutumia Gmail Account ukiwa katika Comuter yako kwa kupitia Browser ya Chrome.

Hatua kwa hatua nimeweza kufahamisha jinsi ya kusoma, ku-reply, kutuma email mbali mbali katika gmail yako na kuonesha baadhi ya vitu ambavyo vitaweza kuwa msaada kwako kwa kuanzia.


Karibu katika channel yangu!

Nifuate ili upate video za kuvutia kuhusu mambo mengi ambayo utaweza kujifunza mfano ishu za technology, health, environment ,science, Motivation na mengine mengi.
Kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali bonyeza kitufe cha subscribe na pia usisahau kuwasha kengele ili upate taarifa za video mpya.

Kama unataka kujua zaidi kuhusu mimi, tafadhali tembelea ukurasa wangu wa @mohamedHafidh_tz Katika Instagram na social media nyengine ambapo utapata zaidi kuhusu mimi na jinsi unavyoweza kuwasiliana nami.

Natumai utapata manufaa katika video zangu na kama una maoni yoyote au mapendekezo, tafadhali usisite kuacha maoni yako chini.

Asante kwa kuwa sehemu ya channel yangu!
#gmail #gmailaccount #chrome #computer #sendemail
9 ماه پیش در تاریخ 1402/07/13 منتشر شده است.
641 بـار بازدید شده
... بیشتر