Jinsi ya Kufungua Google Account Kwenye Computer 2023 || Gmail Account

Mohamed Hafidh Tz
Mohamed Hafidh Tz
828 بار بازدید - 10 ماه پیش - Fahamu jinsi gani utaweza kufunga
Fahamu jinsi gani utaweza kufunga Google Account yako ukiwa katika Computer yako na kuanza kutumia huduma zote ambazo zinatolewa na Google na zile zitakazo hitaji gmail ili kutumia.

Hatua kwa hatua nimekuonesha jinsi gani unavyweza kufungua Google account ukiwa katika windows Operating System, Ni rahisi sana.

Hakikisha unaangalia video hii mwanzo hadi mwisho na kufata video zitakazokuwa zinaendelea kwa kupitia channel yangu.

Karibu katika channel yangu!

Nifuate ili upate video za kuvutia kuhusu mambo mengi ambayo utaweza kujifunza mfano ishu za technology, health, environment ,science, Motivation na mengine mengi.
Kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali bonyeza kitufe cha subscribe na pia usisahau kuwasha kengele ili upate taarifa za video mpya.

Kama unataka kujua zaidi kuhusu mimi, tafadhali tembelea ukurasa wangu wa @mohamedHafidh_tz Katika Instagram na social media nyengine ambapo utapata zaidi kuhusu mimi na jinsi unavyoweza kuwasiliana nami.

Natumai utapata manufaa katika video zangu na kama una maoni yoyote au mapendekezo, tafadhali usisite kuacha maoni yako chini.

Asante kwa kuwa sehemu ya channel yangu!
#gmail #googleaccount #google #email #computer #windows11
10 ماه پیش در تاریخ 1402/07/11 منتشر شده است.
828 بـار بازدید شده
... بیشتر