NAMNA YA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA AJIRA PORTAL

AJIRAMPYAZONE MEDIA
AJIRAMPYAZONE MEDIA
19.3 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Je unahitaji kujisajili kwenye mfumo
Je unahitaji kujisajili kwenye mfumo wa maombi ya ajira za serikali? ajira portal ni mfumo wa serikali ambao humpa mtu aliyejisajili nafasi ya kuomba ajira mbalimbali zinazotangazwa na serikali. Namna ya kujisajili ajira portal Hatua Zote Mwanzo - Mwisho

Hii video, imeelezea maswali yafuatayo : -
-namna ya kujiunga kwenye mfumo wa ajiraportal
-namna ya kureset pasword ya ajira portal
-how to register into ajiraportal
-ajira portal registration
-ajira portal login

Namna ya kujisajili kwenye mfumo wa ajira portal tumeelezea kwenye video hii steps zote kuanzia mwanzo mpaka mwisho. angalia kwa umakini ili kujua namna ya kujisajili kwenye mfiumo wa jaira portal kwa usahihi na kutokupata shida wakati wa kutuma maombi.

namna ya kujisajili ajira portal
how to register into ajira portal
ajira tanzania
Namna ya kutengeneza Account ya ajira portal
Namna ya kuingia kwenye mfumo wa ajira portal
Jinsi ya kutuma maombi ya ajira za utumishi
ajira mpya
ajira portal password
ajirampyazone
Jinsi ya kujisajili ajira portal
taesa registration
taesa login

#ajiraportal
#password reset
#ajiraportallogin
#jisajiliajiraportal
2 سال پیش در تاریخ 1401/09/06 منتشر شده است.
19,300 بـار بازدید شده
... بیشتر