JINSI YA KUJUA NAMBA SHUFWA AU WITIRI KWA MICROSOFT EXCEL

Mwalimu Bassu
Mwalimu Bassu
1.5 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - JINSI YA KUJUA NAMBA SHUFWA
JINSI YA KUJUA NAMBA SHUFWA AU WITIRI KWA MICROSOFT EXCEL
TUNAELEZEA KWA MIFANO HALISI KATIKA MAZINGIRA YETU.
(KARIBU UJIFUNZE EXCEL IKUPATIE AJIRA)

MFANO WA KAZI HII UPO KWENYE LINK IFUATAYO:
https://drive.google.com/drive/folder...

Microsoft Excel ni Moja ya Programu Jedwari zinazotumiwa zaidi duniani katika uandaaji wa taarifa mbalimbali za fedha, mapato na matumizi, na taarifa mbalimbali za matokeo ya Wanafunzi katika hatua mbalimbali za elimu. Imetengenezwa katika mfumo wa vyumbavyumba ili imusaidie mtumiaji kuwa makini zaidi anapoandaa kazi yake.

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Excel

Endelea …
===
BAADHI YA VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU
===
ANGALIA JINSI YA KUTUMIA FOMULA HIZI KUFANYA “VALIDATION”, NI NJIA NZURI SANA.
Jinsi ya Kutumia Fomula za “OR” na “AND” kwenye Microsoft Excel
LINK: JINSI YA KUTUMIA FOMULA ZA "OR" NA "A...

MFANO WA KAZI HII UPO KWENYE LINK IFUATAYO:
https://drive.google.com/drive/folder...
==
JINSI YA KUJUA IDADI YA SIKU ZA KAZI KWA MWAKA KWA KUTUMIA MICROSOFT EXCEL.
LINK: JINSI YA KUJUA IDADI YA SIKU ZA KAZI ...
===
HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA FOMULA YA “RANDBETWEEN” KWENYE Microsoft Excel.
LINK: HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA FOMU...
===

HATUA KWA HATUA JINSI YA KUBADILI herufi ndogo KWENDA HERUFI KUBWA na KUBWA KWENDA ndogo kwenye Microsoft Excel
LINK: JINSI YA KUBADILI herufi ndogo kwenda...
===
HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTENGENEZA NA KUTUMIA FOMU ZA KUPOKEA TAARIFA MBALIMBALI
KWENYE MICROSOFT EXCEL
LINK: JINSI YA KUTENGENEZA FOMU ZA KUPOKEA ...
===
HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA FOMULA YA “RANK” KWENYE Microsoft Excel.
LINK: JINSI YA KUTUMIA FOMULA YA "RANK" KWE...
MFANO WA KAZI HII UPO KWENYE LINK IFUATAYO:
https://drive.google.com/drive/folder...
===
HATUA KWA HATUA Jinsi ya KUJIFUNZA na KUTUMIA Microsoft Excel
LINK: HATUA KWA HATUA Jinsi ya KUJIFUNZA na...
===
HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA FOMULA ZA “SUM” KWENYE Microsoft Excel.
LINK: JINSI YA KUTUMIA FUMULA ZA "SUM" KWEN...
===
HATUA KWA HATUA JINSI YA KUTUMIA FOMULA ZA “COUNT” KWENYE Microsoft Excel
LINK: JINSI YA KUTUMIA FOMULA ZA COUNT KWEN...
===
DARASA LA EXCEL;
JINSI YA KUTUMIA KIPENGELE CHA “HOME” KWENYE EXCEL
LINK: JINSI YA KUTUMIA KIPENGELE CHA "HOME"...
===
DELAY GRATIFICATION SO YOU ENJOY AFTER A WHILE THE FRUITS FROM THE TREE YOU PLANTED.
FOLLOW THIS LINK TO GAIN THAT MOMENTUM
LINK: WHY Delay Gratification | Delayed Gra...
===

FANYA KITU KIPYA LEO. USIRIDHIKE NA MAFANIKIO YA JANA. JITOE ZAIDI LEO ILI UFANIKIWE ZAIDI.
SI MANENO YANGU BALI NI BAADHI YA MANENO YALIYOKO KWENYE HII VIDEO. FUATANA NASI ...
LINK: Do Something New TODAY | Don’t be Sat...
=======

Dakika 15 tu “Jinsi ya Kuandaa Kadi ya Mchango wa Send Off kwa MS PowerPoint”
LINK: Jinsi ya Kuandaa KADI NZURI YA MCHANG...

=======
NGOJANGOJA HUUMUZA MATUMBO
Changamkia Fursa ili Ufanikiwe na Ukawe Mfano Bora wa Kuigwa na Wengine
LINK: NGOJA NGOJA HUUMIZA MATUMBO

=======
UMEZALIWA UKIWA MSHINDI, USIKUBALI KUJA KUFA UKIWA OMBAOMBA…
Fuatana Nami Tujikumbushe Haya LINK: You Were Born a WINNER, DON'T Die a B...
=======

ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS: ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS | Act...
========
5 سال پیش در تاریخ 1398/11/02 منتشر شده است.
1,524 بـار بازدید شده
... بیشتر