Jinsi ya Kutengeneza TIKETI ZA BASI kwa Microsoft Word | How to Create Bus Tickets Using MS Word

Mwalimu Bassu
Mwalimu Bassu
1.4 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Jinsi ya Kutengeneza Tiketi za
Jinsi ya Kutengeneza Tiketi za Basi kwa Microsoft Word | How to Create a Bus Ticket Using MS Word

Robin Sharma amewahi kusema kuwa "Fursa iko kila mahali… jambo la muhimu ni kukuza uwezo wako wa kuiona."

Tim Fargo akaongeza kuwa “Fursa huwa haifanyi miadi; lazima uwe tayari wakati inakujia.”

Lakini kwa bahati mbaya watu wengi huwa wanafikiri kuwa watu wengine wana bahati pale wanapoweza kuifanyia kazi fursa iliyojitokeza mbele yao. Lakini si kumbe sio kwamba wana bahati. Akipinga hilo la kuwa fursa ni bahati, Roy D. Chapin, Jr alisisitiza akisema "Kuwa tayari wakati fursa inakuja ... kwani bahati ni wakati ambapo maandalizi na fursa hukutana."

Kumbe wale tunaowaita kuwa wana bahati huwa wamejiandaa. Lakini fursa ikitokea na bahati mbaya ukawa hujajiandaa, wewe ipokee.

Ndiyo maana Richard Branson aliandika kuwa “Ikitokea mtu akakupa fursa ya kushangaza lakini haujui kama unaweza kuifanya, sema ndio - kisha jifunze jinsi ya kuifanya baadaye.”

Basi nakukaribisha tujifunze pamoja “JINSI YA KUTENGENEZA TIKETI ZA BASI KWA MICROSOFT WORD”

LINK: Jinsi ya Kutengeneza TIKETI ZA BASI k...

Tafadhali fuatilia Somo hili Mpaka mwisho ili upate Elimu Kamili juu ya Uandaaji wa Tiketi za Basi.

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Word

PICHA ILIYOTUMIKA
https://pixabay.com/photos/neoplan-ce...



==PIA WAWEZA JIFUNZA==

JINSI YA KUANDIKA CV BORA YA MAOMBI YA AJIRA
LINK: Jinsi ya KUANDIKA CV BORA ya Maombi y...

“JINSI YA KUANDAA KADI YA MWALIKO WA KIPAIMARA” Kwa Microsoft Word.
LINK: Jinsi Ya KUANDAA KADI ya MWALIKO WA K...

JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “MICROMETER SCREW GAUGE”.
LINK: Jinsi ya Kuchora MICROMETER SCREW GAU...

JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “VERNIER CALIPERS”.
LINK: JINSI YA KUCHORA VERNIER CALIPERS KWA...

JINSI YA KUANDAA STICKER BORA NA RAHISI ZA KARANGA TAMU ZA MAYAI kwa Microsoft Word.
LINK: Jinsi Ya Kuandaa Sticker Bora na Rahi...


JINSI YA KUTENGENEZA LOGO Kwa Microsoft Word.
LINK: Jinsi ya Kutengeneza LOGO kwa Microso...
4 سال پیش در تاریخ 1399/09/07 منتشر شده است.
1,484 بـار بازدید شده
... بیشتر