JINSI YA KUTENGANISHA JINA KAMILI KUPATA JINA LA KWAZA, LA PILI NA LA UKOO kwa Fomula kwenye Excel

Mwalimu Bassu
Mwalimu Bassu
683 بار بازدید - 4 سال پیش - JINSI YA KUTENGANISHA JINA KAMILI
JINSI YA KUTENGANISHA JINA KAMILI KUPATA JINA LA KWAZA, LA PILI NA LA UKOO kwa Fomula kwenye Microsoft Excel – Part 1

Tafadhali fuatilia Somo hili Mpaka mwisho ili upate Elimu Kamili juu ya Kutenganisha Jina kamili.

Karibu katika Group letu la WhatsApp la ELIMU YA KOMPYUTA BURE
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...

“Kila siku naendelea kujifunza Microsoft Excel lakini kila siku bado naonekana ni mwanafunzi, wala si Expert”, alisema rafiki yangu mmoja.
Je, wewe upo upande gani? Ni mwanafunzi wa hii programu au ni Expert?

Pande zote mbili nawakaribisha katika somo hili la leo, ili tujifunze pamoja.
Tutajifunza “Functions” kama vile:
(1) Left
(2) Mid
(3) Right
(4) Search
(5) Find
(6) Len
(7) Trim, na
(8) Substitute.
Wala usitishike na kuogopa kuendelea, tumetumia mifano mzuri sana kiasi kwamba somo lote litaonekana rahisi kwako.
Baadhi ya “Functions” tutajifunza katika Video hii na nyingine tujajifunza “Part 2” ya somo letu ambalo nalo tayari lipo jikoni na litakujia Jumatatu.

Basi, tumetumia mfano wa Kutenganisha Jina Kamili katika Video tuliyoiita jina la “JINSI YA KUTENGANISHA JINA KAMILI KUPATA JINA LA KWAZA, LA PILI NA LA UKOO kwa Fomula kwenye Microsoft Excel – Part 1”

LINK: JINSI YA KUTENGANISHA JINA KAMILI KUP...

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Excel

PICHA ZILIZOTUMIKA KWENYE VIDEO HII
Tray Waiter Butler, working people transparent background PNG clipart
https://www.hiclipart.com/free-transp...

Video clip Video portal Streaming media, video icon transparent background PNG clipart
https://www.hiclipart.com/free-transp...

Cloudy sky, Poster, sky
https://www.pngfuel.com/free-png/aofxt

closed gate beside tree, Stone Mountain Magnolia Gardens Pixabay Illustration, Park Garden Gate free png
https://www.pngfuel.com/free-png/aaeyq

BAADHI YA VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU

JINSI YA KUTUMIA FOMULA YA “CONCATENATE” IKISAIDIWA NA FOMULA YA “TRIM” ILI KUWEKA MAJINA AMBAYO YAPO KWENYE  COLUMN ZAIDI YA MOJA KUKAA KWENYE COLUMN MOJA
LINK: JINSI YA KUTUMIA FOMULA YA "CONCATENA...

JINSI YA KUBADILI ALAMA ZILIZO NA ASILI YA 50 KUWA NA ASILI YA 100 Kwa Microsoft Excel.
LINK: Jinsi ya Kubadili ALAMA zilizo na ASI...


KUZUIA MWANAFUNZI AMBAYE HAJAFANYA MTIHANI ASIWEKEWE ALAMA” Kwa Microsoft Excel.
LINK:  JINSI YA KUZUIA MWANAFUNZI AMBAYE HAJ...

JINSI YA KUTENGENEZA CHATI (CHARTS) MBALIMBALI KWENYE MICROSOFT EXCEL NA KUBADILI MUONEKANO WAKE | SOMO LA 6
LINK: JINSI YA KUTENGENEZA "CHART" MBALIMBA...

JINSI YA KUANDAA FOMU YA USAJILI WA WANAFUNZI KWA MICROSOFT EXCEL
LINK: JINSI YA KUANDAA FOMU YA USAJILI WA W...

MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUPANGILIA VYEMA KAZI YAKO KWENYE PROGRAMU YA EXCEL| KUWEKA “BORDERS” NA “BACKGROUND COLOUR” | SOMO LA 5
LINK: MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUPANGILIA...

MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUANDIKA CELL COMMENTS | KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE WORKSHEET | EDITING A WORKSHEET | SOMO LA 4
LINK: JINSI YA KUANDIKA "CELL COMMENTS" | M...

MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUTUMIA RELATIVE NA ABSOLUTE CELL REFERENCES | BAADHI YA FOMULA RAHISI | WORKSHEET BASICS | SOMO LA 3
LINK: MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUTUMIA RE...

MICROSOFT EXCEL | SOMO LA 2 | VIPENGELE MUHIMU VYA PROGRAMU | JINSI YA KUPATA USAIDIZI | NJIA ZA MKATO ZINAZOTUMIKA ZAIDI
LINK: MICROSOFT EXCEL | SOMO LA 2 | VIPENGE...
4 سال پیش در تاریخ 1399/07/26 منتشر شده است.
683 بـار بازدید شده
... بیشتر