JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA WANAFUNZI KWENYE EXCEL PEKEE | KWA SHULE ZA MSINGI - PART 2

Mwalimu Bassu
Mwalimu Bassu
5.4 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - NO MAIL MERGE NEEDEDFUATILIA Video
NO MAIL MERGE NEEDED

FUATILIA Video hii MPAKA MWISHO ILI USIPITWE NA UJUZI HUU MUHIMU.

JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA WANAFUNZI KWENYE EXCEL TU BILA MAIL MERGE KWA SHULE ZA MSINGI-PRT 2

SEHEMU YA KWANZA YA SOMO HILI:
KUTUMIA MICROSOFT EXCEL PEKEE katika Kuandaa Ripoti za Matokeo ya Wanafunzi na kwa shule za Msingi.
LINK: JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA...

Walimu mara nyingi huwa wanatoa mtihani Katika kufanya tathimini ya kile alichojifunza mwanafunzi kwa muda fulani.

Mtihani huo hupelekea kuwe na uandaaji wa matokeo kwa mwanafunzi husika.

Utoaji wa matokeo mara nyingi imekuwa ni kazi nzito sana kwa mwalimu na hivyo mara nyingine kuchukua siku kadhaa.

Katika zama hizi za KIDIJITALI, walimu wengi wamekuwa wakitumia Kompyuta ili kurahisisha shughuli nzima ya utoaji wa matokeo ya wanafunzi hasa kwa shule zenye wanafunzi wengi.

Kuna njia nyingi za kufanikisha zoezi hilo katika Kompyuta yako. Lakini mara nyingi Walimu wamekuwa wakitumia njia ya MAIL MERGE ili kutoa matokeo kwa haraka.

Kwa bahati mbaya, Mail Merge ina hatua nyingi ambazo wengi hushindwa kuzifuata.

Katika kutafuta njia mbadala tumekuletea hili somo la KUTUMIA MICROSOFT EXCEL PEKEE KATIKA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA WANAFUNZI NA HII IKIWA NI KWA SHULE ZA MSINGI – na hii ni PART 2

Njia hii itawafaa sana Walimu, Waendeshaji wa Stationery na watu wote ambao wanataka kujifunza Microsoft Excel kwa Undani.

Karibu sana Ufuatane nasi kwa Dakika 40 na Sekunde 15 tu.

LINK: JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA...

FUATILIA Video hii MPAKA MWISHO ILI USIPITWE NA UJUZI HUU MUHIMU.

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Excel

PICHA ILIYOTUMIKA
NO signage, Stop sign No symbol Warning sign Red , Block Sign transparent background PNG clipart
https://www.hiclipart.com/free-transp...


KWA SHULE ZA SEKONDARI, Njia hii nimeifundisha kwa kutumia Video Mbili,

VIDEO #1: LINK: JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA...

VIDEO #2: LINK: JINSI YA KUANDAA RIPOTI ZA MATOKEO YA...

MIFANO YA KAZI HIZI UPO KWENYE LINK IFUATAYO: https://drive.google.com/drive/folder...

Pia waweza kuomba kujiunga kwenye Group letu WhatsApp kwa kutuma ujumbe mfupi wa WhatsApp wenye neno “ELIMU YA KOMPYUTA BURE” Kwenda 0754 55 33 03
4 سال پیش در تاریخ 1399/09/15 منتشر شده است.
5,467 بـار بازدید شده
... بیشتر