Zijue mbolea na viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi #sua # kilimo cha mahindi.

maco TV 🖥️
maco TV 🖥️
2.2 هزار بار بازدید - 5 ماه پیش - mboleakwa ajiri ya soil nutrients
mboleakwa ajiri ya soil nutrients na viwatilifu kwa ajiri ya wadudu waharibifu na magonjwa kwenye kilimo cha mahindi ni changamoto kubwa na hivyo kuathiri uzalishaji kwenye kilimo, video hizi zinakusaidia kutambua aina  za mbolea zinafanya vizuri na kuongeza uzalishaji shambani kwako, kwa maelezo zaidi tupigie kwenye namba 0750406919

mbolea za mahindi # viwatilifu vinavyofaa kwenye mahindi.  # magonjwa ya mahindi .
5 ماه پیش در تاریخ 1403/01/23 منتشر شده است.
2,216 بـار بازدید شده
... بیشتر