UWEKAJI WA MBOLEA ZA KUKUZIA NA MATUNDA KWENYE MAHINDI

AGALUS TV
AGALUS TV
5.4 هزار بار بازدید - 8 ماه پیش - #kilimochamahindi
#kilimochamahindi #uwekajiwambolea
✍️ Katika kilimo cha mahindi ni muhimu kutumia mbolea ili upate Mazao mengi na bora.

✍️ Aina za Mbolea katika zao la muhindi hutofautiana kulingana na Muda AU nyakati ya zao

✍️Zipo mbolea za kupandia, kukuzia na mbolea za matunda

✔️ Katika video hii tumeeleza jinsi ya kuweka Mbolea za kukuzia na matunda kwa njia ya kuhesabu majani
8 ماه پیش در تاریخ 1402/09/08 منتشر شده است.
5,419 بـار بازدید شده
... بیشتر