JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA PAYPAL BILA ACCOUNT YA BENKI | NO VISACARD, NO MASTERCARD

AJIRAMPYAZONE MEDIA
AJIRAMPYAZONE MEDIA
3 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - hello, Ni Video yenye maudhui
hello, Ni Video yenye maudhui ya NAMNA YA KUUNDA ACCOUNT YA PAYPAL BILA KUWA NA ACCOUNT YA BENKI || NO VISACARD, NO MASTERCARD!
hii video tumeonesha namna ya kuunda PayPal account bila kuwa ana account ya benk.

jinsi ya kutengeneza account yako kwa kutumia laini yako ya simu, ni rahisi sana haichukui muda mwingi na ni bure kabisa.

PayPal account yako utaweza kupokea pesa kutoka nchi mbalimbali kwa mfimo wa dola na currency zinginezo,

angalia vide hii na pia usisahau kuniwekea subscribe yako katika Channel yetu hii ya AJIRAMPYAZONE MEDIA! Ahsante sana!

kwa maelezo zaidi unaweza ukasoma post kwenye website yetu pia! link ya post hii hapa chini

https://www.ajirampyazone.com/2022/09... .html
#PAYPAL
2 سال پیش در تاریخ 1401/07/02 منتشر شده است.
3,089 بـار بازدید شده
... بیشتر