Jinsi ya kufungua Accout ya Paypal | How to create paypal account? Send & Receive money with PayPal

MPARADISSO MEDIA Tech
MPARADISSO MEDIA Tech
2.4 هزار بار بازدید - پارسال - JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA
JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA PAYPAL 2023

Ni mala kadhaa sasa nimekua nikipata sim kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiniomba niwaelekeze jinsi ya kufungua accout ya Paypall na nimekua Nikifanya hivyo, leo nimeona nitengeneze video na kushare nanyi public jinsi ya kufungua accout ya paypal kwaajili ya kufanya manunuzi na malipo mtandaoni.

Kama unavyojua njia nyingi za kutengeneza pesa mtandaon zimekua zikiitaji kukulipa pesa ulizokusanya kupitia paypal na usipokua na accout ya paypal nivigumu kupokea pesa zako, pia accout ya paypal hutumika kufanya manunuzi bidhaa mtandaoni.

Kama umeipenda video gusa Neno ya *SUBSCRIBE*, bonyenza Alama ya kengele Kisha share kwa wengine waweze kujifunza kupitia video hii.

Kabla ya yote tambua paypal wana Website pamoja na Application, unaweza tumia website kujisajili au ukadownload Application ya paypal na ukajisajili, Unaweza uka download App ya kupitia PlayStore au AppStore

Website ya Paypal
www.paypal.com

APP ya Paypal Play Store
https://play.google.com/store/apps/de...


                                   Video Chapters
1, 00:00 Muongozo
2. 00:20 Matumizi ya Paypal
3, 01:10 Jinsi ya ku fungua Account ya Paypal
4, 06:10 Jinsi ya kujua Postcode ya kata uliyopo
5, 08:35 Jinsi ya ku Link Card ya Bank kwenye PayPal
6, 09:05 Paypal Home page
7, 09:30 Hitimisho.

                                     My Query
Paypal account tuma pesa Paypal pesa mtandaoni Paypal Tanzania Paypal Kenya Paypal Africa Paypal link card

#paypalaccount
#paypalshoponline
#paypal
پارسال در تاریخ 1402/05/18 منتشر شده است.
2,491 بـار بازدید شده
... بیشتر