jinsi ya kufungua account ya netflix rahisi kuliko

Vinei TV
Vinei TV
9.3 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Tazama video hii inayo elezea
Tazama video hii inayo elezea njia ya kufungua account ya Netflix na jinsi ya kulipia Netflix kwa Airtelmoney , jinsi ya kulipia Netflix kwa mpesa , ifahamu vizuri Netflix ,hii tutakwenda kulipa kwa njia hii iliyo elekezwa kwenye video hapo juu . ni rahisi sana kutengeneza account ya netflix pia ni bei rahisi sana kulipia katika netflix iliniweze kuangalia movie kali , season kali za kikorea , season za kizungu season za kituruki na zengine zote , pia single movie kali, filamu na tamthilia nzuri .

   Kumbuka netflix ni mtandao wa movie online ambao ni International hivyo usije tegemea kupata muvi za kutafsiriwa na dj mack wala dj afro humo ndani , pia netflix inauhaba wa sizoni za kihindi japo singo movie za kihindi zipo naponsio nyingi kama zilivyo muvi za kizungu au za korea na nchi zingine zinazo pewa sana shavu na netflix

this video show how to create Netflix account for the first time and how to do payments on Netflix through virtual Mastercard. how to create account , how to subscribe and how to do payments.
2 سال پیش در تاریخ 1401/01/23 منتشر شده است.
9,312 بـار بازدید شده
... بیشتر