JINSI YA KUTUMIA MICROSOFT WORD -BASIC SESSION MS WORD

Hakuna Matata Tech
Hakuna Matata Tech
620 بار بازدید - پارسال - MICROSOFT WORD NI PROGRAM AMBAYO
MICROSOFT WORD NI PROGRAM AMBAYO IPO KATIKA MKUSANYIKO WA MICROSOFT OFFICE HII INAHUSHISHA KAMA IFUATAVYO
-MICROSOFT WORD
-MICROSOFT POWER POINT
-MICROSOFT ACCESS
-MICROSOFT EXCEL
HIZO ZOTE HAPO ZINAPATIKANA KWA PAMOJA NA ZINAITWA MICROSOFT OFFICE YAANI PROGRAM ZA MAOFISINI .  

MATUMIZI YA MICROSOFT WORD NI KAMA IFUATAVYO
-KUANDIKA BARUA
-KUANDIKA CV
-KUTENGENEZA FLYERS
-KUTENGENEZA RESUME

MICROSOFT WORD INASAIDIA SANA WATU MAOFISINI KUWEZA KUFANYA VITU MBALI MBALI KATIKA KUHIFADHI NYARAKA ZAO ZA KILA SIKU NA KUWEZA KUFANYA KAZI ZAO KWA URAHISI WA HALI YA JUU

LENGO LA KUWEKA VIDEO HII NI KUFANYA WATU WOTE AMBAO HAWAJUI KUTUMIA MICROSOFT WORD BASI WANAWEZA KUPATA ELIMU JUU YA MICROSOFT WORD NA MATUMIZI YAKE .

VIDEO ZIPO KWA PAMOJA FUATILIA ZAIDI UWEZE KUJUA JINISI YA KUTUMIA MICROSOFT WORD .

MASWALI YOTE NAOMBA ULIZA KWENYE COMMENT HAPO CHINI
KWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MAFUNZO YA KUSOMA ZAIDI

-BARUA PEPE : [email protected]
-NAMBA YA SIMU: +1 647  905 7103 (Whatsapp)
پارسال در تاریخ 1401/11/16 منتشر شده است.
620 بـار بازدید شده
... بیشتر