Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 3 (Darsa ya 2)

Jifunze Uislamu
Jifunze Uislamu
9.3 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Huu ni mwanzo wa somo
Huu ni mwanzo wa somo la pili kwa mujibu wa kitabu chetu tunachotumia ambapo leo tutajifunza neno DHAALIKA ambalo ni jina la kuashiria.

Neno DHAALIKA maana yake ni YULE (akiwa mtu) au KILE(kikiwa ni kitu).

Tumia dakika zako sita ingia ndani ya somo unufaike. kwa maswali na maoni usisite kutuandikia kwenye comment box hapa chini.
6 سال پیش در تاریخ 1397/03/30 منتشر شده است.
9,307 بـار بازدید شده
... بیشتر