Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 4 (Darsa ya 3/1)

Jifunze Uislamu
Jifunze Uislamu
9.4 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Hi ni sehemu ya nne
Hi ni sehemu ya nne ambayo ndio mwanzo wa somo la tatu. Katika somo hili utajifunza maneno mbalimbali (maalumu na ambayo sio maalum).

Kwa kiingereza somo hili tunaweza liita definite article and indefinite articles.
Mfano katika lugha ya kiingereza kuna tofauti kati ya "A Book" na "The Book".
Zama kwenye somo kwa maelezo zaidi.
6 سال پیش در تاریخ 1397/04/01 منتشر شده است.
9,489 بـار بازدید شده
... بیشتر