SIRI YA KUJUA KUJIFUNZA KUONGEA KIARABU KWA MUDA MFUPI TIZAMA HAPA || USTADHI ABUU NIYAAR WAIL SEBEA

Jifunze Kuongea Kiarabu Online
Jifunze Kuongea Kiarabu Online
6 هزار بار بازدید - پارسال - ASSALAAM ALYKUM.NIMEANZISHA Group kwaajili ya
ASSALAAM ALYKUM.
NIMEANZISHA Group kwaajili ya ambao wangependa kujifunza kuongea kiarabu. Katika group hili utapata nafasi ya kipekee kuuliza maswali tofauti tofauti ya kiarabu. Pia utapata nafasi ya kufanya mazoezi ya namna ya kuongea kiarabu.

ANGALIZO: Ili uweze kuungwa kwenye group hili ni lazima uwe umetoa
TShs 2000/=Tu nitakuunganisha moja kwa moja katika group langu la WhatsApp.

LENGO: La kuanzisha group hili ni kwaajili ya kuwasaidai watu ambao wapo siriazi na wanaitaji kujifunza kuongea kiarabu.

MIMI nimejitoa kuakikisha kwamba kwa uwezo wa ALLAH kila Mtanzania apate kuimudu lugha ya kiarabu kwa wepesi, ili kuweka usawa kwa wote.
HAKUNA MALIPO YA ADA KWA MWEZI WALA KWA MWAKA KWENYE GROUP HILI. KIINGILIO CHAKO NI TSHS 2000/=TU INSHAALLAH
📱+255 621 552262
پارسال در تاریخ 1401/11/21 منتشر شده است.
6,070 بـار بازدید شده
... بیشتر