NIKULIPE NINI MUNGU-Kwaya ya Mt Anyesi (Official Gospel Video-HD)
2.5 میلیون بار بازدید -
6 سال پیش
-
Huu ni moja ya wimbo
Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Albam ya PILI ya Video, toka Kwaya Kongwe ya Mt.Anyesi iliyopo Parokinia VWAWA-MBOZI, Jimbo katoliki la Mbeya.
Albam hii nzuri ina nyimbo 12, zote zikiwa zimerekodiwa katika studo ya ST.JOSEPHPRODUCTIONS zilizopo Mbeya Mjini.
Na video imetengenezwa na TANGANYIKA PRODUCTIONS Chini ya uongozwaji wa:
Laurent Ludovick, Kelvin Marandu na Fortune Shimanyi.

در تاریخ 1397/02/18 منتشر شده
است.
2,510,851
بـار بازدید شده