NITAKUPENDA MILELE(official Gospel Video-HD)

TanganyikaProduction
TanganyikaProduction
2.2 میلیون بار بازدید - 7 سال پیش - Hii ni moja ya kazi
Hii ni moja ya kazi inayotarajiwa kutoka mapema mwaka huu. Ni kazi yenye nyimbo 08 AMBAZO NI NYIMBO MAALUM ZA NDOA, nyimbo hizi zimetungwa na watunzi mbali mbali wa tasnia ya Muziki wa Kikatoliki. Kazi hii imefanyika Jijini Mbeya katika Studio za Triple J Records Audio iliyopo maeneo ya Ivumwe chini ya Producer Caleb Mwanjoka na Video imefanywa na Tanganyika Productions chini ya Director Ludovick.
Nyimbo zilizomo kwenye albam hii zina maudhui ya nyimbo za Ndoa na waimbaji wake wakiwa ni THE LORD'S VOICE SQUAD [LOVOS]
7 سال پیش در تاریخ 1396/11/11 منتشر شده است.
2,265,281 بـار بازدید شده
... بیشتر