Tundu Lissu Ni Mzalendo asiye Mfano(2) Riport za Madini

TL. Marandu
TL. Marandu
31.9 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Anayesema Lissu Ni Msaliti au
Anayesema Lissu Ni Msaliti au Anachafua Nchi Huyo sio Mzalendo. Yeyote alete Historia yake na Mchango wake kwa Taifa wa Miaka kumi Tuuweke Mezani na Kuulinganisha Uzalendo Wake na wa Tundu Lissu. Kwa Maoni yangu Wanaochafua Tanzania Ni Wale wanaowapiga Wabunge risasi, Ni wale wanaowateka Wafanyabiashara, Ni wale wanaoua watu na Kutupa Miili yao Baharini. Hao Ndio Wasio Itakia Tanzania Mema.
5 سال پیش در تاریخ 1397/11/23 منتشر شده است.
31,972 بـار بازدید شده
... بیشتر