JIFUNZE KUWEKA PASSWORD KWENYE EXCEL YAKO - EXCEL PASSWORD PROTECTED

Hakuna Matata Tech
Hakuna Matata Tech
78 بار بازدید - 4 ماه پیش - HABARI ZENU JJIFUNZE KUWEKA PASSWORD
HABARI ZENU JJIFUNZE KUWEKA PASSWORD KWENYE EXCEL FILE HATUA KWA HATUA .

JIFUNZE JINSI YA KUWEKA PASSWORD KWENYE EXCEL FILE LAKO .
ITAKUSAIDA
- KUZUIA DATA ZAKO KUSAMBAA KWA WATU .
-KUFANYA DATA ZAKO KUA SALAMA KWAKO TU .
-DATA ZAKO ZITAKUA KATIKA USALAMA .
-HAKUNA MTU ANAWEZA KUPATA DATA ZAKO BILA IDHINI YAKO.
-HATA KAMA DATA ZAKO ZITASAMBAA KWA WATU HAKUNA MTU ATAWEZA KUONA CHOCHOTE KWENYE DATA ZAKO.

KUMBUKA KWAMBA HATA WEWE USISAHAU PASSWORD HUTAWEZA KUPATA DATA ZAKO PIA.  HAKIKISHA UNAKUMBUKA PASSWORD YAKO KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUWEKA PASSWORD.

KAMA UNA MASWALI YOYOTE TAFADHALI WEKA COMMENT YAKO HAPO CHINI .
ASANTENI USISAHAU KU SUBCRIBE CHANNEL YETU.
4 ماه پیش در تاریخ 1402/12/28 منتشر شده است.
78 بـار بازدید شده
... بیشتر