Fried Chicken - Kiswahili

Aroma Of Zanzibar & Beyond
Aroma Of Zanzibar & Beyond
284.6 هزار بار بازدید - 8 سال پیش - Miguu /mapaja au sehemu yoyote
Miguu /mapaja au sehemu yoyote ya kuku
Kitunguuu thom na tangawizi mbichi

Mayai
Maji
Hot sauce ya iana utakayopenda

Unga mweupe wa ngano
Chumvi
Pilipili manga ya unga
Pilipili ya unga ya paprika/au yoyote
Unga wa vitunguu maji kama utapenda
Mchanganyiko wa bizari utakayo penda sio ya mchuzi

Mafuta ya kukaangia
8 سال پیش در تاریخ 1395/06/14 منتشر شده است.
284,661 بـار بازدید شده
... بیشتر