Kuku wakukaanga wa kfc | Jinsi yakupika kuku wa kfc mtamu na kwa njia rahisi sana.

Rukia Laltia
Rukia Laltia
202.2 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - #kfcchicken
#kfcchicken #kfcfriedchicken #friedchicken #kukuwafc #kukuwakukaangawakfc

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji ya kukuunga kuku :-
1kg kuku
Chumvi
Pilipilimanga kijiko kidogo
Kijiko kidogo masala ya unga
Kijiko cha kula garamasala
Kijik cha kula paprika
Kijiko cha kula kitunguusaumu
Kijiko cha kula tangawizi
Vijiko 2 vya kula soya sauce
1ndimu / limau

Mahitaji yakukaanga kuku :-
3mayai ,chumvi na pilipilimanga
Unga wa ngano kikombe 1
Cornflakes or breadcrumbs /chenga wa Mkate
Mafuta yakukaanga kuku

Instagram ➡️ Laltias_swahili_spices.
Homemade  16 swahili  spices  available  at  affordable  prices  for  those  interested  kindly  contact  us ➡️+254 791 784401/+254 787 022663 we  deliver  around  Eastafrica.



English recipe follow the link➡️ Kfc chicken recipe | How to make kfc fried chicken | Crisy fried kfc chicken. ➡️ Kfc chicken recipe | How to make kfc ...
4 سال پیش در تاریخ 1399/07/28 منتشر شده است.
202,226 بـار بازدید شده
... بیشتر