Kuku sekela | Kuku tikka | Kupika Kuku mtamu na rahisi sana| #Collaboration.

Rukia Laltia
Rukia Laltia
12.5 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - #kukusekela
#kukusekela #kuku #kukutikka #rukialaltia

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen.

Mahitaji:-
Mapaja ya kuku
Kijiko chakula garamasala
Kijiko chakula majani ya kotmiri/dania
Kijiko nusu kidogo rangi nyekundu
Kijiko kidogo manjano
Kijiko kidogo pilipilimanga
Ndimu 1
Chumvi
Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula
Maziwa ya mtindi vijiko 3 vyakula

English recipe press the link ➡️ Chicken sekela | Best baked chicken recipe | Chicken tikka. Chicken sekela | Best baked chicken r...

Kuangalia recipe za youtuber wenzangu ⬇️⬇️⬇️:-

Raqya’s kitchen :-Mkate wa cheese na viazi ➡️Video

Mapishi ya Zanzibar:-Shurba  ya kuku➡️ shurba ya kuku/ chicken shurba /shour...

Tajiri’s kitchen:- Mikate ya ajemi ➡️ Mikate ya Ajemi Mitamu sana /Ajemi br...
3 سال پیش در تاریخ 1400/02/04 منتشر شده است.
12,550 بـار بازدید شده
... بیشتر