Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS Bora za kutumia YouTube ILI VIDEO YAKO IVUTIE WATU WENGI ZAIDI | Pt. 2

Mwalimu Bassu
Mwalimu Bassu
136 بار بازدید - 4 سال پیش - How To Make a Nice
How To Make a Nice YouTube Thumbnail for More Views and Subscribers.

Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS Bora za kutumia YouTube ILI VIDEO YAKO IVUTIE WATU WENGI ZAIDI-Pt. 2

YouTube ni moja ya majukwaa makubwa zaidi duniani ya ku-share Video. Kila mtu hapa duniani ana nafasi ya ku-share video zake alizoziandaa na kuwafikishia ujumbe wake Kirahisi watu zaidi ya Bilioni saba hivi sasa kupitia jukwaa hili.

Fanya Video Yako IONEKANE KWA WATAZAMAJI kati ya Mabilioni ya Video zilizopo YouTube. Kivipi? Video yako ITAONEKANA ZAIDI IKIWA NA THUMBNAIL BORA NA YA KUVUTIA ikinakishiwa na Jina bora la Video (Mind blowing Video Title).

Karibu Tujifunze “Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS Bora za kutumia YouTube ILI VIDEO YAKO IVUTIE WATU WENGI ZAIDI- Pt. 2”
LINK: Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS Bora za k...

KARIBU KATIKA GROUP LETU LA ELIMU YA KOMPYUTA BURE
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...

#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Thumbnail

TOLEO LA KWANZA:
Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS za kutumia YouTube ILI VIDEO YAKO IVUTIE WATU WENGI ZAIDI.
LINK: Jinsi ya Kuandaa THUMBNAILS za kutumi...

PICHA ZILIZOTUMIKA (USED PICTURES ARE FROM THE BELOW LINKS)

Meza ya Kahawa
https://www.pngfuel.com/free-png/atgns

Hawaii Flower Hibiscus, with green leaf decoration of the board signs, rectangular brown case free png
https://www.pngfuel.com/free-png/andpf

Dada ANATUMIA LAPTOP (using a laptop)
https://www.pngfuel.com/free-png/aejye

Iliyotumia kwenye Labeling
https://www.pngfuel.com/free-png/anmjd

Ndiyo Programu Niliyoitumia - PROGRAMU YA PHOTOSCAPE
LINK: http://www.photoscape.org/ps/main/dow...
4 سال پیش در تاریخ 1399/06/29 منتشر شده است.
136 بـار بازدید شده
... بیشتر