JUMBA LA DHAHABU - 39 & 40 (MWISHO)

Global TV  Online
Global TV Online
40.7 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - SUBSCRIBE NOW:
SUBSCRIBE NOW: uwazi1

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu.  Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana katika Televisheni ya Taifa ya TBC1,

Huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABULA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 11:30 hapa hapa GLOBAL TV Online.

WAHUSIKA WAKUU NI: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba NA Tuesday (Mr. Chuz).

Script: Tuesday Kihangala, Story by: Tuesday Kihangala, Producer: Tuesday Kihangala, Executive Producer: Tuesday Film

Production, Director: Tuesday Kihangala, Sound: Omary Idd, Cameraman: Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu

JUMBA LA DHAHABU|GLOBAL TV ONLINE|JINI KABULA


FACEBOOK: Facebook: Globalpublishers
TWITTER: Twitter: GlobalHabari
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
uwazi1
uwazi1
uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: Facebook: Globalpublis..
TWITTER: Twitter: GlobalHabari
INSTAGRAM: Instagram: globalpubli..
7 سال پیش در تاریخ 1396/06/19 منتشر شده است.
40,701 بـار بازدید شده
... بیشتر