JUMBA LA DHAHABU - 18

Global TV  Online
Global TV Online
23.5 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - SUBSCRIBE NOW:
SUBSCRIBE NOW: uwazi1
GLOBAL TV Online inaendelea kukuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu ya Jumba la Dhahabu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana katika Televisheni ya Taifa ya TBC1,

Huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABULA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 11:30  GLOBAL TV Online.

WAHUSIKA WAKUU NI: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba NA Tuesday (Mr. Chuz).

Script: Tuesday Kihangala, Story by: Tuesday Kihangala, Producer: Tuesday Kihangala, Executive Producer: Tuesday Film

Production, Director: Tuesday Kihangala, Sound: Omary Idd, Cameraman: Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: Facebook: Globalpublishers
TWITTER: Twitter: GlobalHabari
INSTAGRAM: Instagram: globalpublishers
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/

FACEBOOK: Facebook: Globalpublishers
TWITTER: Twitter: GlobalHabari
INSTAGRAM: Instagram: globalpublishers
7 سال پیش در تاریخ 1396/04/04 منتشر شده است.
23,528 بـار بازدید شده
... بیشتر