Jinsi ya Kutengeneza Maandazi Laini ya Nazi

Mapishi With Sabrina
Mapishi With Sabrina
583 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - MatayarishoUnga - 5 VikombeTui la
Matayarisho

Unga - 5 Vikombe
Tui la nazi zito - 1 1/4
Sukari - 3/4
Samli au mafuta Vijiko 3 vya chakula
Hamira - 2 vijiko viwili vya chakula
Hiriki - 1/2 kijiko cha chai

Mafuta

Angalia Video ingine ya maandazi ya baking powder

Jinsi ya kupika Maandazi ya Baking po...
6 سال پیش در تاریخ 1397/08/07 منتشر شده است.
583,030 بـار بازدید شده
... بیشتر