Jinsi ya kupika Maandazi ya Baking powder #halfcake

Mapishi With Sabrina
Mapishi With Sabrina
117.5 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Unga 500 g Sukari 100g
Unga 500 g
Sukari 100g / nusu kikombe
Baking powder kjk 1 cha chai
Yai 1
Mafuta kjk cha chakula 1 1/2
Maziwa kikombe 1 hadi 1 na 1/2
Hiliki 1/2 kjk cha chai


Ukitaka yapasuke sana yawe  haflcake ongeza baking soda 1/4 hadi 1/2 kjk cha chai 🤗
6 سال پیش در تاریخ 1397/11/26 منتشر شده است.
117,507 بـار بازدید شده
... بیشتر