Jinsi ya kupika VITUMBUA vitamu kwaajili ya FAMILIA yako | Pika na Babysky

Simulizi Na Sauti
Simulizi Na Sauti
243.1 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - MAHITAJI1. Mchele vikombe vitatu/kulingana na
MAHITAJI

1. Mchele vikombe vitatu/kulingana na mahitaji yako
2. Tui la nazi vikombe viwili vya chai//kulingana na mahitaji yako
3. Hamira vijiko viwili
4. Hiliki kijiko kimoja cha chai
5. Sukari kikombe kimoja
6. Mafuta ya kupikia

JINSI YA KUANDAA

-Changanya Mchele kiasi ambacho umeamua kupika ambapo kitaendana na tui litakalotosha, Sukari, Hamira na Iliki ndani ya chombo cha kusagia, weka tui lako la nazi anza kwa kuweka kikombe kimoja.. Mwisho uhakikishe uji wa mchele ni mzito wa kati usiwe mzito sana wala mwepesi!!
4 سال پیش در تاریخ 1399/02/07 منتشر شده است.
243,132 بـار بازدید شده
... بیشتر