Jinsi ya Kupika Figo za Ng'ombe | Pika na Babysky

Simulizi Na Sauti
Simulizi Na Sauti
24.3 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - MAHITAJI:1.Figo kilo moja 2. Vitunguu
MAHITAJI:

1.Figo kilo moja
2. Vitunguu maji vikubwa viwili
3. Nyanya za kawaida tano na kijiko kidogo kilichochaa nyanya ya kopo
4. Karoti kubwa moja
5. Hoho kubwa moja
6. Kitunguu saumu kijiko kidogo cha chai
7. Tangawizi kijiko kidogo cha chai
8. Chumvi utakayoona itatosha
9. Cream kikombe kimoja cha chai

#PikanaBabysky
5 سال پیش در تاریخ 1398/11/18 منتشر شده است.
24,341 بـار بازدید شده
... بیشتر