JINSI YA KUFAHAMU MAJINA MBALIMBALI YA VITU KWA LUGHA YA KIARABU: SOMO LA 01 |Abuu Niyaar Wail Sebea

Jifunze Kuongea Kiarabu Online
Jifunze Kuongea Kiarabu Online
571 بار بازدید - 8 ماه پیش - NJOO NIKUPE SIRI ZA KUWEZA
NJOO NIKUPE SIRI ZA KUWEZA KUONGEA KIARABU HARAKA.
Najua umepoteza fursa nyingi sana eti kisa ujui kuongea kiarabu.
:
Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kuzungumza lugha ya Kiarabu alafu usijue maneno ya kutumia. Yaani unapenda sana kuongea Kiarabu lakini tatizo ni maneno ya kutumia. Unatamani sana kuongea kiarabu na rafiki yako (Pengine Mwarabu) kwenye simu lakini unashindwa. HAKIKA INAUMIZA SANA.!
;
Labda unapigiwa simu na Mwarabu au mtu yoyote yule anayezungumza kiarabu, alafu unashindwa kumuelewa anamaanisha nini anapokuwa akitumia  maneno rasmi kwaajili ya mazungumzo kwenye simu. HAKIKA NAAMI UTAKUWA UMEPATA TABU SANA.
;
HILE TABU ULIYOKUWA UKIPATA YA KUTAKA KUJUA KUONGEA KIARABU FASAHA IMEKWISHA
========================
MAWASILIANO ZAIDI
TUPIGIE
+255 621 552 263
+255 715 953 766
8 ماه پیش در تاریخ 1402/09/29 منتشر شده است.
571 بـار بازدید شده
... بیشتر