Mama aacha Familia akimbilia biashara ya kupiga chabo Dhahabu

Millard Ayo
Millard Ayo
30.7 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Salome Mlelema ni Mama alieamua
Salome Mlelema ni Mama alieamua kuiacha familia yake na kwenda kutafuta dhahabu katika machimbo ya Mwima wilaya ya Kahama, Kazi yake yeye ni kununua mawe kisha kupiga chabo kama kuna dhahabu kisha anauza kwa watu wanaonunua dhahabu.
6 سال پیش در تاریخ 1397/08/15 منتشر شده است.
30,723 بـار بازدید شده
... بیشتر