Hatua kwa hatua namna uzalishaji wa dhahabu unavyofanyika

Daily News Digital
Daily News Digital
16.5 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Inawezekana watu huvaa vito au
Inawezekana watu huvaa vito au vitu vilivyotengenezwa kwa madini ya dhahabu lakini hawajui jinsi rasilimali hiyo inavyozalishwa. Mtaalamu wa Maabara kutoka Kampuni ya uchimbaji wa dhahabu ya Namungo Gold Mining, Geoffrey Godwin anaelezea hatua kwa hatua namna dhahabu inavyozalishwa huko Raungwa, Lindi
#JukwaaLaFursaLindi #LindiBusinessForum #LindiKuchele
5 سال پیش در تاریخ 1397/12/24 منتشر شده است.
16,554 بـار بازدید شده
... بیشتر