Jinsi ya Kudesign Card ya Mwaliko ndani Adobe Illustrator (WEDDING CARD)

Joel Media
Joel Media
885 بار بازدید - 2 سال پیش - Naitwa Joel Kadaga, Katika Video
Naitwa Joel Kadaga, Katika Video hii utajifunza Jinsi ya kudeseign Wedding Card ya Mualiko kwa kutumia Adobe Ilustrator baada ya kutazama video hii utakua na uwezo wa kuandaa kadi mbalimbali kwa kutumia programu ya Adobe Illustrator na zingine zinazohusiana na masuala ya Graphics Design

Tazama mpaka mwisho video hii ujifunza kisha acha maoni yako sehemu ya comment ili watu wengine pia wajifunze kupitia comment yako, like share na kila unayehisi video hii itakua msaada

Bonyeza hapa kupakua Ptroject file Patreon: pakua-hapa-file-70188457
ili uitumie kujifunza au kwaajili ya project zako binafsi na wateja wako

Bonyeza hapa Kupata Kozi zangu: https://app.gumroad.com/joemedia
Jifunze Graphics Design na creative skills zingine kupitia skillshare:  https://skl.sh/3CBASHU
Support me on Patreon Page: https://bit.ly/3LtQwIV
Download Free Music: (No Copyright): https://uppbeat.io?referral=joel-4zfn5

Follow me on
Instagram: Instagram: joemediagro..
Facebook​ https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter:​ https://linktr.ee/joemediagroup_​
Email: [email protected]





























0:00 - Intro
1:49 - Kozi ya Adobe Illustrator
2:26 - Project setting
3:36 - Jinsi ya kutengeneza Artbord
4:47 Jinsi ya kuimport Assets
16:04 - Jinsi ya kuexport
2 سال پیش در تاریخ 1401/05/16 منتشر شده است.
885 بـار بازدید شده
... بیشتر