Simple ways to make an invitation cards// jinsi ya kutengeneza kadi za mialiko//[Swahili]

Norman
Norman
9 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - kuna kadi za aina nyingi
kuna kadi za aina nyingi za mialiko kwa mfano kadi za harusi, sendoff, siku ya kuzaliwa, hafla, mikutano, pamoja na sherehe nyingine. leo nakuletea njia rahisi ya kutengeneza kadi za mialiko ya harusi. lakini kitu kimoja nnachopenda kukusihi ni kwamba ukitaka kuijua vizuri PHOTOSHOP inatakiwa ufanye mazoezi ya mara kwa mara na unatakiwa uwe creative hii itakusaidia kuimudu programu. asante kwa kuchagua channel hii na nipende kukuambia tu kwamba upo kwenye sehemu sahihi itakayo kufanya uijue PHOTOSHOP.
5 سال پیش در تاریخ 1398/04/08 منتشر شده است.
9,061 بـار بازدید شده
... بیشتر