Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Matoleo (Skiza 7482440)

Sauti Tamu
Sauti Tamu
3.7 میلیون بار بازدید - 4 سال پیش - Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka
Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana
Aliyeniumba mimi hadi nikapendeza
Kaniumba kwa mfano wake kuliko viumbe vingine na sasa nikatoe shukrani


Mtunzi: I Myaga

Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki



Tazama pia Anayekula Mwili wako, Twimbe kwa shangwe na furaha, Nijaposema kwa Lugha, pamoja na Nimeahidi Yesu. Sasa zimo humu

#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa


Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Wanameremeta (Bernard Mukasa) Nikupe Nini Mungu wangu cha kukupendeza, Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Vipaji hivi ni kama dhabihu, sadaka yangu kwako ee Mungu, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu na ipae mbele yako
4 سال پیش در تاریخ 1399/07/08 منتشر شده است.
3,704,895 بـار بازدید شده
... بیشتر