Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies |Sadaka/Matoleo ~Skiza 7482438

Sauti Tamu
Sauti Tamu
4.1 میلیون بار بازدید - 4 سال پیش - Nikupe nini Mungu wangu, nikupe
Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza?
Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee
Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi, nikurudishie.

Tazama pia Anayekula Mwili wako, Nijaposema kwa Lugha, one of our latest Catholic Music choir songs Kenya and Tanzania.

Waimbaji - Sauti Tamu Melodies

wimbo wa sadaka na matoleo /vipaji
Mtunzi: Basil A Lukando

Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki

Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika,  Tazama Bwana tunakuja kwako,  sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe na Sala yangu na ipae mbele yako

#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa
4 سال پیش در تاریخ 1399/06/21 منتشر شده است.
4,190,801 بـار بازدید شده
... بیشتر