MREMBO WA KIJIJI EP 06 || full hd 1080 || #latest #bongomovie #kicheche #mkojanigang #azamtv #comedy

ibra kitimbu
ibra kitimbu
39 هزار بار بازدید - 6 ماه پیش - fuatilia muendelezo wa series ya
fuatilia muendelezo wa series ya MREMBO WA KIJIJI sehem ya 06 ni stori yenye hadithi mzuri inayoweza kuelimisha na kuburudisha hadithi imelenga uhalisia wa maisha tulionayo kwasasa ..

muhimu kwako mdau na mpenzi wa filam na series ni kutusapoti kwa kushea link popote utakapo kukomenti na ku subscribe kufanya hvyo kunatuongezea hamasa za kufanya kazi zilizobora zaidi ..

story: ibrah kitimbu
script: hassan likoko
director: ibra kitimbu
producer: ibrah kitimbu

HOUSE OF TALENTS DR IBRAHIM KITIMBU

TUNAFANYA SANAA KWA KULENGA KUFUNDISHA NA KUELIMISHA

sanaa ni kazi kama kazi nyingne hivyo ipendwe na kuheshimiwa ...

kwa mawasiliano piga 0655 081975 chatting Whatsapp
6 ماه پیش در تاریخ 1402/11/12 منتشر شده است.
39,078 بـار بازدید شده
... بیشتر