MREMBO WA KIJIJI EP 23 || full hd 1080 || #latest #bongomovie #kicheche #mkojanigang #azamtv #clamo

ibra kitimbu
ibra kitimbu
27.7 هزار بار بازدید - 6 ماه پیش - ndugu mfatiliaji wa series ya
ndugu mfatiliaji wa series ya MREMBO WA KIJIJI endelea kuangalia sehem ya 23 ni stori yenye hadithi mzuri inayoweza kuelimisha na kuburudisha karibu 🙏

muhimu kwako mdau na mpenzi wa filam na series ni kutusapoti kwa kushea link popote utakapo kukomenti na ku subscribe kufanya hvyo kunatuongezea hamasa za kufanya kazi zilizobora zaidi ..

story: ibrah kitimbu
script: hassan likoko
director: ibra kitimbu
producer: ibrah kitimbu

HOUSE OF TALENTS DR IBRAHIM KITIMBU

TUNAFANYA SANAA KWA KULENGA KUFUNDISHA NA KUELIMISHA

sanaa ni kazi kama kazi nyingne hivyo ipendwe na kuheshimiwa ...

kwa mawasiliano :

Piga 0655 081975

Chatting Whatsapp 0628 424367

Iga ila usipitilize maana utakosa maarifa 🙏
6 ماه پیش در تاریخ 1402/12/13 منتشر شده است.
27,748 بـار بازدید شده
... بیشتر