Jinsi ya kutumia adobe photoshop: hatua za kuedit picha iwe nzuri

Jovin Mahizo
Jovin Mahizo
5.1 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Jifunze hatua za kuedit picha
Jifunze hatua za kuedit picha kuanzia mwanzo hadi mwisho ambazo ni;-
1. frequency separation
2. dodge and burn
3. eye colouring
4. image sharpening
5. colour grading
hii ni kwa wote wanaotaka kujua namna gani wanaweza kuedit picha zao iwe kwa ajili ya social media au kibiashara. jifunze hii ni njia ya haraka na rahisi kuedit picha.


pia waweza KUSUBSCRIBE  na kuweka notification uweze kupata tutorial zote nitakazoweka ili usipitwe na somo hata moja, share na marafiki pia.


Wasiliana nami kupitia ;-

INSTAGRAM: Joviniens_country_boy
TWITTER: Joviniens_cb



music by: https://www.bensound.com
2 سال پیش در تاریخ 1401/01/06 منتشر شده است.
5,157 بـار بازدید شده
... بیشتر