Jinsi ninavyotumia Automate Batch Ku edit picha zaidi ya 100 ndani ya dakika Sifuri

Richstar
Richstar
4.9 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Katika Video hii nitakufundisha na
Katika Video hii nitakufundisha na kukuonesha namna gani ninavyotumia Automate Batch Ku edit picha zaidi ya 100 ndani ya dakika Sifuri, Mfumo huu umeniwezesha kuokoa muda pindi ninapo edit picha za matukio kama kongamano, tamasha, harusi nk

USISAHAU KU SUBSCRIBE, LIKE na COMMENT
Follow me Instagram
Instagram: richstartz
5 سال پیش در تاریخ 1398/01/05 منتشر شده است.
4,962 بـار بازدید شده
... بیشتر