HUKUMU YA LULU INATOLEWA LEO!!! MTAZAME ALIVYOTINGA MAHAKAMANI!

Global TV  Online
Global TV Online
272.7 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Subscribe
Subscribe uwazi1
Diva anayejua kuwakuna mashabiki vilivyo kutokana na kipaji chake cha Kuigiza, Elizabeth Michael 'Lulu', amewasili leo Novemba 11, 2017 katika mahakama ya Kisutu Jijini Dar, kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa Mfalme wa Bongo Muvi, Steven Kanumba.

Kama iliyo kawaida yake Lulu huwasili mahakamani hapo akiwa ameambatana na watu wake wa karibu akiwemo Mama yake Mzazi, mfanyabiashara Muna na watu wengine.

FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… uwazi1 uwazi1 uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari INSTAGRAM: Instagram: globalpubli..
7 سال پیش در تاریخ 1396/08/21 منتشر شده است.
272,737 بـار بازدید شده
... بیشتر