KIFO CHA KANUMBA: Hali ya Lulu Leo Mahakamani!!!

Global TV  Online
Global TV Online
103.4 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Subscribe
Subscribe uwazi1
KIFO CHA KANUMBA: Hali ya Lulu Leo Mahakamani!!
KESI inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, anayedaiwa kumuua muigizaji mwenzake, Steven Kanumba, bila kukusudia, iliendelea leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuahirishwa baada ya shahidi upande wa utetezi kutofika mahakamani.

Akiwasilisha maombi, wakili anayeongoza upande wa utetezi, Peter Kibatala, aliiomba, mahakama kupokea ushahidi wa maandishi kwa madai kuwa shahidi aliyeandika maelezo hayo ambaye ni askari polisi wa kituo cha Oyster Bay, Sajenti Nyangea, yuko nje nchi.

Baada ya maelezo hayo ya Kibatala, kulitokea mvutano mkali mahakamani hapo kati ya upande wa Jamhuri na upande wa utetezi ambapo Jamhuri ilikataa kupokelewa ushahidi huo kwa madai kuwa mahakama haiwezi kupokea ushahidi wa maandishi wakati aliyeuandika hayupo.

Aidha upande huo wa Jamhuri ulimtaka Kibatala asijivishe kofia mbili (wakili na shahidi wa Lulu) kwa kutaka kusoma ushahidi huo mahakamani.
Jaji Rumanyika anayesikiliza kesi hiyo a



FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… uwazi1 uwazi1 uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari INSTAGRAM: Instagram: globalpubli..
7 سال پیش در تاریخ 1396/08/02 منتشر شده است.
103,462 بـار بازدید شده
... بیشتر