Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 15 - (Darsa ya 6)

Jifunze Uislamu
Jifunze Uislamu
3.5 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Katika darsa hii utajifunza 1}
Katika darsa hii utajifunza
1} Matumizi ya matamko HAADHA (kiashiria cha mwanaume au kitu chenye asili ya kiume) na HAADHIHI ambayo ni kiashiria cha mwanamke au kitu chenye asili ya kike .

2) Pia utajifunza kuhusu LAMUL MILKI (Lamu ya kumilikisha)

Ingia kwenye somo upate kunufaika.
6 سال پیش در تاریخ 1397/06/05 منتشر شده است.
3,507 بـار بازدید شده
... بیشتر