Ifahamu teknolojia ya kumwagilia mazao kwa matone inavyoongeza tija kwa mkulima

Azam TV
Azam TV
42.8 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Katika kumrahisisshia mkulima kazi za
Katika kumrahisisshia mkulima kazi za shambani hususani suala la kumwagilia mazao yake, mbunifu Kazi Mkembe kutoka halimashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani amekuja na teknolojia ya kutumia dumu la kawaida yanayotumika majumbani kwa kuliunganisha na mfumo wa umwagiliaji wa njia za matone. #AzamTVUpdates #AzamNews

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: Instagram: azamtvtz
►INSTAGRAM: Instagram: azamsports2
►TWITTER: Twitter: azamtvtz
►FACEBOOK: Facebook: azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
4 سال پیش در تاریخ 1399/05/20 منتشر شده است.
42,810 بـار بازدید شده
... بیشتر